
Mbunge wa Mtera (CCM) wa kwanza kutoka kushoto, Bw. John Malecela, ameitaka serikali isipige marufuku utengenezaji wa pombe haramu ya gongo na badala yake iongezewe ubora kwa kuwa imekuwa ikisaidia kuwaongezea kipato wananchi.
Mambo mengi unajua ila ni vizuri tukikumbushana na kuelimishana
No comments:
Post a Comment