Mambo mengi unajua ila ni vizuri tukikumbushana na kuelimishana
Monday, March 15, 2010
UNAJUA HII
Unajua kama timu ya SHEIN RANGERS SPORTS CLUB ya Uzuri Sinza ni timu ya mtaani inayomiliki tovuti yake binafsi? Ukitaka kujua ingia www.sheinrangers.blogspot.com
Madhumuni ya Blog hii, ni wadau kwa pamoja kutumia Teknolojia hii ya mawasiliano kwa kukumbushana,kufurahishana na kuelimishana . Tukiwa pamoja katika kuchangia hakika tutafuta ujinga. Ila tusisahau kukumbushana, NAJUA WAJUA ILA NAKUKUMBUSHA.
Nitumie picha, maoni na hata unalotaka kutukumbusha na kutuelimisha, NAJUA WAJUA ILA NAKUKUMBUSHA.
WASILIANA NASI KWA:
Simu 022 2461457/ 0784 251001/ 0773 251001
E.Mail - najuawajua@yahoo.com
Hiyo timu ni mfano wa kuigwa kwa timu za mchangani
ReplyDeleteWape hongera kwa kuwa na tovuti
ReplyDeleteTUNAFIKISHA HONGERA ZENU KWA WAHUSIKA
ReplyDeleteNi kweli nimetembele hiyo blog yao ipo na ni nzuri kwa kweli, BIG UP SHEIN RANGERS
ReplyDeleteHongereni.. Shein Rangers..once again..
ReplyDeletetupo pamoja
Renee karibu sana NAJUA WAJUA kama kawaida tupo pamoja! ila usikose viwanja vya SHEIN RANGERS SPORTS CLUB.
ReplyDelete