Tuesday, April 13, 2010

JENGO REFU DUNIANI

Unajua kwamba jengo refu kuliko yote duniani kwa sasa lipo Dubai? Jengo hilo lenye urefu wa mita 828 na ghorofa zipatazo 160. Jengo hilo linajulikana kwa jina la Burj Khalifa.

No comments:

Post a Comment