Sunday, May 29, 2011

HII ITAISHA LINI?

Hii itaisha lini? viumbe hawa wataacha lini kupata misukosuko hii ambayo usababisha ulemavu mpaka kifo. 
Hebu tufikirie njia sahihi ya kuwasaidia viumbe hawa.

1 comment:

  1. Unajua kuna kitu kimoja nilijifunza nikiwa jeshini, kuwa wanawake wana nguvu wakiamua, ila kitu kimoja `hawajiamini'....unakuta mume anayempiga ni `mdogo' tu kimaumbile,...lakini hajitetei...sisemi mpigane, lakini ikizidi jitetee....labda iwe vinginevyo!
    Wewe unakamatwa na dume kubakwa, kuna siri kubwa ya kumshinda mwanaume,piga ile kitu yake, kamata kwa nguvu...hana ujanga, ...msikubali kuonewa pale mnapoonewa!

    ReplyDelete