Monday, May 9, 2011

HII NAYO KALI

Familia moja huko nchini Thailand inajihusisha na ufugaji wa nyoka aina ya Chatu, aina hii ya nyoka ni moja ya aina ya nyoka hatari waliopo duniani kwani wana uwezo wa kumeza wanyama kama mbuzi, mbwa na hata binadamu, hebu angalia picha hii mama na wanawe wakicheza na nyoka huyo hatari wanayemfuga. We unaiona aje hii?

3 comments:

  1. Yala weee! hapo mimi sisogei kabisa hata kwa mihela mingapi sijui....HAPANA, HAPANA HAPANA!!

    ReplyDelete
  2. kila watu na utamaduni wao na roho zao dada Yasinta

    ReplyDelete
  3. Hata hapa Florida kuna watu wanayafuga haya machatu. Hivi karibuni joka kama hili lenye njaa likajijongeza usiku wa manane na kumeza katoto ka miezi sita kalikokuwa kamelala.

    Binadamu sie wakati mwingine sijui akili zinatuzidia. Unafuga joka kama hili ili iweje?

    ReplyDelete