Wednesday, June 22, 2011

WAKULIMA

Rais wa Tanzania Dr Jakaya M. Kikwete akiwa na wazazi wa Mh Pinda (waziri mkuu) maarufu kama mtoto wa mkulima.

2 comments:

  1. Wazazi wa mtoto wa mkulima....mmh, nanii alijua kuwa mwanetu atakuwa waziri mkuu...mungu ndiye mpaji,unalala masikini kesho unaamuka tajiri!

    ReplyDelete
  2. Mtoto wa mjini mgeni kwa wazazi wa mtoto wa mkulima

    ReplyDelete