Wednesday, March 31, 2010

MAMBO YA KILAJI

ipi zaidi kati ya hizi? najua wajua, ila twakumbushana na kufahamishana

5 comments:

  1. mie naona hii ya upande kwa kushoto zaidi

    ReplyDelete
  2. Hakuna ubishi, kili juuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. subirini nikazifanyie utafiti hizo zote kisha nilete majibu. naona mme wa munila na anonymous hapo juu ni wadau wa mlima na si chuichui

    ReplyDelete
  4. Chui chui bwana, serengeti serengetiiii

    ReplyDelete
  5. Hapana, chui chui ina kiharufu fulani sikipendi. mambo poa iko kilimani make the most of it.

    ReplyDelete