Thursday, April 1, 2010

MIKINDANI - MTWARA

Huu ni mji mkongwe na wa kihistoria ambao uko kilomita chache kutoka Mtwara mjini. Mandhali yake ni nzuri na tulivu, wenyeji wa hapa asilimia kubwa huishi kwa kutegemea shughuli za uvuvi. Wadau karibuni Mikindani

No comments:

Post a Comment