Friday, March 12, 2010

MZUMBE SHULE KONGWE


Unaijua shule ya sekondari maarufu na kongwe ya Mzumbe? shule hii ipo mkoani Morogoro na haya ni baadhi ya majengo yake.

3 comments:

  1. Duh! umenikumbusha mapartner we2 wakati ule wa enzi za mwl ktk disco yaani Mzumbe gents Vs Kilakala queens ilikuwa raha 2pu ha ha haaaaa..........

    ReplyDelete
  2. Tutumie michapo ya enzi hizo tuiweke hapa ili tukumbushane!

    ReplyDelete