Friday, March 12, 2010

MATOFALI YA KUFUNGAMANA KWA UJENZI WA GHARAMA NAFUU

nyumba hii imejengwa kwa matofali ya kufungamana na kuezekwa kwa vigae vya saruji mchanga ambavyo kwa kiasi kikubwa inapunguza gharama za ujenzi wa nyumba. wadau tumieni technolojia hii

No comments:

Post a Comment