Friday, March 12, 2010

HAPA PAZURI NI WAPI?


Unapajua hapa pazuri namna hii ni wapi? hii ndio Tanzania na hapo ndio Mtwara na huo ndio mto Ruvuma.

3 comments:

  1. haswaaaa umenifikisha home.........

    ReplyDelete
  2. Nyumbani ni nyumbani hata kama tunakula samaki wa nchi kavu.

    ReplyDelete
  3. jamani mto, bahari vimetuzunguka, bado tu tule samaki wa nchi kavu????????????

    ReplyDelete