Monday, March 22, 2010

NYOKA NA MAJI

Unajua kama nyoka wanaishi katika maji baridi?
Kwa kawaida zipo aina tofauti za nyoka na baadhi yao wanaishi kwenye maji. Nyoka hao huishi kwenye maji baridi kama vile maziwa na mito, na wajua kama nyoka hawawezi kuishi baharini kwa sababu ya maji ya chumvi? Najua wajua ila nakukumbusha.

No comments:

Post a Comment