Monday, March 22, 2010

JIJI LA MWANZA

Hili ndio jiji la Mwanza, moja ya majiji yanayokua kwa kasi katika nchi za ukanda wa maziwa makuu. Unajua kama hayo mawe ndio yamefanya jiji la Mwanza liitwe "The Rock City"

No comments:

Post a Comment