Tuesday, March 23, 2010

JE UNAJUA HII?

Je, Unajua hii? kuwa Uzio wa hotel mpya ya kitalii ya Snow Crest jijini Arusha eneo la Ngulelo ulivunjwa na wakala wa barabara (TANROADS) siku mbili toka Rais Jakaya Kikwete aifungue rasmi. Najua wajua ila nakukumbusha.

No comments:

Post a Comment