Tuesday, March 23, 2010

ADHABU KWA WEZI

Unajua kama hii ndio adhabu waliyopewa wezi baada ya kubambwa live wakiiba hilo tank? kali hii imetokea mitaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam, jiji lenye vituko kila kukicha.

2 comments:

  1. Adhabu zingine du! Lakini ni afadhali kuliko kuwamwagia petroli na kisha kuwapiga kiberiti. Kama ni kujifunza watakuwa wamejifunza na hawatarudia tena!

    ReplyDelete
  2. Kaka hizo ndio busara za watu wa kigamboni!

    ReplyDelete