Saturday, March 13, 2010

MOSHI WA SIGARA NI HATARI KULIKO MOSHI WA MAGARI

Uvutaji sigara umekuwa kama kitu cha kawaida kwa watu wengi. Watu huvuta sigara ili kujisikia vizuri, kuchangamka, kupunguza mawazo na wengine huvuta kama sehemu ya starehe.
Lakini, sigara au tumbaku hufanya nini miilini mwetu? Je unajua kuwa moshi wa sigara una madhara kuliko hewa inayotoka kwenye injini za magari?

No comments:

Post a Comment