Friday, March 12, 2010
UNAIJUA TABORA BOYS
Unaijua hii? hapa ndio getini Tabora boys high school, shule yenye historia kubwa ya kutoa viongozi wakubwa wa serikali ya Tanzania. Ni moja ya shule zenye heshima kuwa katika bara la Afrika kwa kutoa viongozi bora. Je wajua kuwa shule hii inamilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Historia nzuri. Unaweza kuwataja viongozi walipita hapo? Sikujua kama inamilikiwa na JKT
ReplyDeleteTunatafuta data kamili tutawataja muda si mrefu kaka Masangu.
ReplyDelete