Monday, April 19, 2010

NGOMA ZA ASILI

Ngoma za asili ni moja ya tamaduni za Watanzania lakini watu wengi wamekuwa wakidharau mila na tamaduni za makabila au maeneo watokayo kwa kisingizio cha kwenda na wakati. pichani ni watoto   wakicheza ngoma kwa ustadi wa hali ya juu huko mkoani Mtwara - kusini mwa Tanzania. je wafahamu ngoma za asili za kwenu? najua wajua ila twakumbushana.

No comments:

Post a Comment