Friday, April 9, 2010

USAFIRI NI USAFIRI

Hii ndio hali halisi ya usafiri katika maeneo mengi ya vijijini, wagonjwa wengi hupoteza maisha wakiwa njiani kuelekea hospitali, mama wajawazito hujifungulia njiani pasipo na msaada wowote. Nini kifanyike? najua wajua naomba tuelimishane.

No comments:

Post a Comment