Thursday, April 8, 2010

Hali ya usafiri na vyombo vya usafiri kwa ujumla ni mbaya katika maeneo mengi nchini hasa vijijini. Kwa hali hii tutafika? ikitokea ajali itakuwaje? najua wajua ila twakumbushana.

No comments:

Post a Comment