Wednesday, August 25, 2010

HAPA NDIO KWA MWALIMU NYERERE

Hapa ndipo nyumbani kwa baba wa Taifa Hayati Mwalimu JK Nyerere, nyumba ya mwalimu ipo Butiama mkoa wa Mara na ndipo  alipozikiwa. Mwalimu Nyerere alikuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na alikuwa kiongozi wa mfano Afrika na Duniani kwa kuwa kiongozi muadilifu.

2 comments:

  1. Kweli sasa panavutia hivi alipokuwa hai palikuwa kama hivyo? na hapa Msasani vipi, nyumba ya kumbukumbu yake ipo?

    ReplyDelete
  2. Nyumba hii ilikuwa hivi hivi toka alipokuwa hai, kwani alijengewa na serikali baada ya kustaafu urais wa Tanzania.

    Ile nyumba ya msasani bado ipo na mama Maria Nyerere akija Dar ndio hufika hapo.

    ReplyDelete