Friday, August 20, 2010

HII NDIO KUFURU

Mchezaji nguli wa England, Wayne Rooney ametumia pauni 10,000 sawa na shilingi za kitanzania milioni 20 kwa ajili ya kutengeneza sehemu ya kukaa mbwa wake (makazi) na kuwekea kifaa maalum cha kutoa joto kwenye sakafu. Makazi ya mbwa huyo yametengenezwa kwenye jumba lake lenye thamani ya pauni milioni 4.5 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 9. Rooney amefunga ndoa na bint wa kiingereza aitwaye Coleen.

3 comments:

  1. Maisara Wastara: huyu jamaa naona amepiga zote mbili kwa pamoja kufuru na uwendawazimu.

    ReplyDelete
  2. Jamani hawa wazungu mie nina mashaka na akili zao.

    ReplyDelete