Sunday, September 12, 2010

HII YA KIPANYA NIMEIPENDA


Ujumbe huu wa Kipanya kwa kweli nimeupenda, ujumbe huu unawakumbusha watu kumcha mungu kwa wakati wote si kwa mwezi wa Ramadhani pekee.

2 comments:

  1. Kweli kabisa, ujumbe huu ni mzuri sana, kwani watu wengine wanamuona mungu kipindi cha Ramadani tu, na nionavyo mimi kipindi hicho wanajiona kama wafungwa, na ramadhani ikiisha ni fungulia mbwa...samahani kwa usemi huo, ila inasiskitisha sana!

    ReplyDelete
  2. Mkubwa hili ni tatizo hata sijui tutumie elimu ipi ili baada ya mwezi huo watu wawe wamadadilika kitabia.

    ReplyDelete