Mambo mengi unajua ila ni vizuri tukikumbushana na kuelimishana
Monday, October 11, 2010
HUU UBUNIFU AU ADHABU?
Huyu mwenzetu nae! sasa huu ubunifu ama adhabu? jamaa ameamua kusikiliza redio kwa kutumia betri ya gari, hii sawa ni ubunifu kwani betri ya gari udumu na chaji zaidi ya betri za kawaida, lakini sasa ndio betri ubebe kichwani?
Madhumuni ya Blog hii, ni wadau kwa pamoja kutumia Teknolojia hii ya mawasiliano kwa kukumbushana,kufurahishana na kuelimishana . Tukiwa pamoja katika kuchangia hakika tutafuta ujinga. Ila tusisahau kukumbushana, NAJUA WAJUA ILA NAKUKUMBUSHA.
Nitumie picha, maoni na hata unalotaka kutukumbusha na kutuelimisha, NAJUA WAJUA ILA NAKUKUMBUSHA.
WASILIANA NASI KWA:
Simu 022 2461457/ 0784 251001/ 0773 251001
E.Mail - najuawajua@yahoo.com
Shauri ya kupenda:-)
ReplyDeletekweli kupenda ni utumwa
ReplyDeleteHii ndio Afrika kili kitu kinawezekana
ReplyDelete