Thursday, October 14, 2010

MIAKA 11 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA

Uongozi wa blog hii unapenda kuugana na watanzania wote katika kuandhimisha miaka kumi na moja ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Julius K. Nyerere.

Tudumishe amani na upendo kwa watu wote, tuepuke ubaguzi wa aina yoyote kwa watu wote na tupambane na maradhi,ujinga na umasikini ili kumuenzi Mwalimu Nyerere.

2 comments:

  1. Swali kubwa ni je anaenziwa kwa vitendo, au twatumia jina lake kisiasa. Kwani nahisi angekuwepo angetusuta sana!

    ReplyDelete
  2. Kwa ukweli asilimia kubwa ya watu wanatumia siku hii kwa manufaa ya kisiasa tu.

    ReplyDelete