Wednesday, December 29, 2010

KWELI KIONGOZI HUYU NI FAMILIA YA MKULIMA

Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Mizengo Pinda a.k.a mtoto wa kulima, kweli ameonyesha yeye anatoka katika familia ya wakulima kwa kutumia muda wake wa mapumziko ya sikukuu ya x - mas na mwaka mpya kwa kujumuika na familia pamoja na wanakijiji katika kilimo, wakati viongozi wengine wanatumia mapumziko yao kama haya katika mahoteli ya kifahari ndani na nje ya nchi. Tanzania tunapenda kuona viongozi wa aina ya mheshimiwa Pinda.

2 comments: