Saturday, January 15, 2011

DAR YAPENDEZA

Jiji la Dar es salaam nchini Tanzania siku za hivi karibuni limeanza kupendeza hasa katika maeneo ya fukwe za bahari, picha hii ni maeneo ya Msasani.

2 comments:

  1. Ama kweli kunapendeza. natamani kama hapo pembeni ingekuwa nyumba yangu mmmhhh naota kwa sauti....

    ReplyDelete
  2. kweli Dar kunapendeza kama ulivyoona siku hizi mambo mazuri jijini kwetu.

    ReplyDelete