Sunday, January 9, 2011

AFRIKA KILA KITU KINAWEZEKANA

Askari wa kiafrika wakiwa wamepumzika na wakati huo huo wakitumia muda huo kunyoana nywele, cha kushangaza kwa asakari hawa ni kuwa mbali na silaha zao tena wakiwa katika vazi lisilo rasmi msituni, kweli Afrika kila kitu kinawezekana. Msomaji una maoni gani katika hili?

5 comments:

  1. Mmmmhhh hicho kiti hicho kaazi kwelikweli:-)

    ReplyDelete
  2. kWELI NAKUMBUKA SIKU MOJA JAMAA ALISEMA BULGA UNGA WA MANJANO ULIKUWA WAKUTUPWA, WAKAONA WAAFRIKA KILA KITU KINAWEZEKANA, KILA KITU KIN...

    ReplyDelete
  3. Kweli maana kuna kocha mmoja wa soka mzungu alikuwa nafundisha soka Afrika, timu yake ilishinda 3 - 0 nyumbani. Ilipoenda ugenini mpaka kipindi cha kwanza wenyeji wanaongoza bao 4 - 0 matatu ya penalt, kocha akaamua kutoa timu kipindi cha pili na yeye kusema pia AFRIKA KILA KITU KINAWEZEKANA

    ReplyDelete
  4. Hii kali. kwanza wangalie hata nguo hawana. na bado haaaa wanaendelea na biashara zao

    ReplyDelete
  5. Wasiwasi ni kama wakishtuliwa, huyo aliyekalia "kigoda" atakuwa na hali gani iwapo atazama chini kidogo!!

    ReplyDelete