Monday, January 3, 2011

NI WAKATI WA KUAMKA SASA

Wasanii na wanamichezo wa Tanzania huu ndio wakati wa kuamka sasa kutumia nafasi zetu za kukubalika katika jamii kubuni njia nyingine ya kuongeza kipato zaidi ya sanaa, mfano mzuri tena wa kupongezwa ni wa msanii wa muziki Judith Wambura Mbibo a.k.a Lady Jay Dee kwa kuamua kufanya muziki na biashara ikiwemo biashara ya maji ya kunywa yaliyozinduliwa mapema mwaka huu yenye jina lake na kisaniii. Hongera sana bint.

No comments:

Post a Comment