Sunday, January 2, 2011

WATANZANIA WAPO NYUMA YENU

Hawa ni kati ya viongozi wa kisiasa nchini Tanzania wenye ushawishi mkubwa toka kwa wafuasi wao, viongozi hawa ndio wamebeba dhamana kubwa ya kuhakikisha amani inadumu kwa watanzania kutokana na kukubalika kwao na wafuasi wao. Je kama viongozi hawa wanakaa wanaongea kwa furaha kwa nini wafuasi wao wapambane mpaka wengine kupoteza maisha?

1 comment:

  1. Yah, uongzozi ni dhamana kubwa, jamii hasa ya kimasikini inawaangalia viongozi kwa jicho lililojaa simanzi, wao mataraaio yao ni kwenu, tizameni chini muwaone kwa kutimiza ahadi zenu. MSIANGALIE MBELU TU AU JUU TU, TIZAMENI NA CHINI NA NYUMA YENU.

    ReplyDelete