Tuesday, January 25, 2011

HII NAYO VIPI?

Mabango mengi ya matangazo tena yenye muonekano bora yamewekewa alama ya "X" yakisubiri utekelezwaji wa hukumu ya kuondolewa katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es salaam, je! mabango yaliyo katika mtindo huu kwenye nguzo za umeme mbona yamenyamaziwa?

5 comments:

  1. hayo waliyowekwa x ujue yanachochote wakiweka hivyo wausika mbio kuyaokoa!!!

    ReplyDelete
  2. MMh kaka! Hilo hapo juu hata mimi nisingeligusa!

    ReplyDelete
  3. Wanamuogopa huyo mganga, labda anaweza kukundondocha je!

    ReplyDelete
  4. Kaka mrope hawa jamaa wanatafuta sababu ya majaribio ya silaha zao nn?

    ReplyDelete
  5. Rakini mabango ya aina hii yamejaa siku hizi katika nguzo za umeme

    ReplyDelete