Saturday, January 22, 2011

LIFT TAMU MWISHO WAKE NDIO MCHUNGU

Mfugo (Mbuzi) umekula lift hapo rahaa, tatizo huko mwisho wa safari ndio hatujui hatima yake ilikuwa nini. Au msomaji una habari safari iliishia vipi?

2 comments:

  1. mpaka sasa tunapoongea ameshasahaulika hata rangi!!!!mwisho wake kisu tuu!

    ReplyDelete
  2. Kwa maana hiyo ameshabadili jina amekuwa marehemu au amekuwa nyama choma.

    ReplyDelete