Friday, January 21, 2011

NOTI MPYA

Benki kuu ya Tanzania hivi karibuni imezindua noti mpya (pesa mpya) ambazo zimeanza kutumika sehemu mbali mbali nchini ila hata hivyo pamoja na jitihada za kuwaelimisha watu ujio wa noti mpya bado kuna watu wanazikataa pesa hizo kwa madai kuwa hawazitambui. Je kuna haja ya kutoa elimu tena kwa wananchi ama ziingie katika mzunguko wa pesa kidogo kidogo huku zikiendelea kupata upinzani toka kwa baadhi ya watu?

2 comments:

  1. Ndio tumeziona sijui wafoji wataweza kufanya vitu vyao

    ReplyDelete
  2. KUNA WALE JAMAA KUTOKA ILE NCHI MAARUFU KWA MAGUMASHI MIE NDIO WASIWASI WANGU MAANA WATU BADO HAWAJAZIJUA SAWA SAWA.

    ReplyDelete