Wednesday, February 2, 2011

MISRI AMANI INAANZA KUTOWEKA

Amani ya Taifa la Misri inaanza kutoweka taratibu baada ya wananchi wanaopiga serikali ya nchi hiyo kuanza kupambana na watu wanaounga mkono serikali hiyo. Hii ni dalili mbaya kwa taifa hili ambalo ni moja ya mataifa yenye nguvu kiuchumi barani Afrika.

2 comments:

  1. Mwenyezi Mungu na uibariki Misri na watu wake na uwape baaraka....

    ReplyDelete
  2. Amani ikavunjika kuipata kazi kweli kweli na wanaokuja kuumia ni wale wasiohusika kabisa....na mwisho wa siku `umasikini'
    Swali la kujiulia hawa viongozi kwani walikuja hapa duniani kutawala...mimi sioni sababu ya kung'ang`ania madaraka kama watu hawakutaki!
    Kweli kama una uchunguu na watu wako vipi ukubali wafe kwa vurugu ambazo kama ungesema basi naondoka wasingekufa...!
    Tunajua pamoja na ukwelii kuwa `viongozi vyema kubadilishwa mara kwa mara ili kuona mabadiliko..' lakini tuwe macho na `vichochezi' ambayo vinaweza kuleta maangamizi yasiyo na lazima

    ReplyDelete