Monday, March 7, 2011

HAPA NDIO MAMBO YOTE

Hapa ndio mambo yote, kuna wengine wanasikia tu kuwa tuna mgao wa umeme kwa kuwa kina cha maji kimepungua katika bwawa linalotumika kufufua umeme la Mtera, hapa ndio Mtera penyewe.

2 comments:

  1. Hivi nilulize kwani kukiwekwa mamabomba ya maji yakawa yanaleta maji kutoka sehemu nyingine, haiwezekani. Nuwa wapo waingie ubia na Tanesco waweke bomba kubwa linalojaza maji humo bwawani! AU?

    ReplyDelete
  2. Hivi mambomba ya maji hapo hayafiki, kina kikipungua mabomba yanafunguliwa maji yanajaa au mpaka maji ya chemchemu?

    ReplyDelete