Friday, February 11, 2011

RATIBA YA OFISI HII VIPI

RATIBA YA OFISI HII VIPI: Jaribu kuangalia kwa umakini ratiba hii  ya ofisi, alafu toa maoni yako kama unaona kweli ratiba hii inafaa ama kutofaa kufatwa katika maofisi yetu.

2 comments:

  1. Hao wafanyakazi wa hapo utawakuta wanalalamika kuwa mishahara haitoshi. Ukweli ni kuwa pesa wanayopewa inatakiwa ipunguzwe sana hadi hapo watakapoanza kweli kufanya kazi, na masaa wanayofanya kazi itabidi yahesabiwe na mshahara uendane na masaa hayo.

    ReplyDelete
  2. Hii si ratiba bali kioja kwani inaelekea hata aliyeandaa hajui anapanga nini. Pengine lugha kwake ni ngeni mno.

    ReplyDelete