Picha ya chini iliyokuwa Chemsha bongo ni picha ya jiji la Arusha. Kweli kuna mdau mmoja alichemsha bongo yake vizuri na kupatia. Bahati mbaya mdau huyo akupenda kuweka wazi jina lake, hongera sana mdau kwa kuchemsha bongo yako na kuwa sahihi. Kweli picha hiyo ni Arusha.
No comments:
Post a Comment