Tuesday, February 8, 2011

CHEMSHA BONGO YAKO HAPA

Picha hii ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Je! ni  wapi hapa? Chemsha bongo yako kidogo.

3 comments:

  1. Nilipoiona tu nilidhani ni Nertherlands, lakini baadaye nimeconcentrate na kukumbuka ni Arusha town. Uwanja wa Shekh Amri Abedi, Mnara wa Azimio la Arusha, Makaburi karibu na stend ya mabasi na bacground yake inaonyesha open ground ya Arusha school.
    Mnyalu

    ReplyDelete
  2. Ambao hatutembei tembei tutabahatisha tu...siju ni mwanza!

    ReplyDelete