Sunday, May 8, 2011
HAPPY MOTHERS DAY
Siku ya tarehe 08 Mei huwa ni siku ya kuwakumbuka mama zetu popote pale walipo duniani, ni siku ya kusema asante kwa malezi mazuri toka kwa mama zetu na siku ya kushukuru kwa kutuleta hapa dunia na pia ni siku pekee ya kumueleza ukweli mama na hata kumuomba msamaha kwa jambo ambalo unahisi halikumpendeza mama. Mimi nasema nakupenda mama M/mungu aimweke roho yako mahali peka peponi amin. R.I.P mama!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera akina mama kwa siku yenu...Nami pias nasema nawapendeni akina mama wote hapa duniani na akina mama waliotutangulia wao pia wastarehe kwa amani na tutawakumbuka daima.
ReplyDeleteKwanza Pole sana kaka yangu kwa KUONDOKEWA NA MAMA, MUNGU muumba wa yote anaweza yote.Hongera kina Mama wote!
ReplyDeleteHongera zenu sana akina MAMA!
ReplyDeleteAsanteni wote kwa kuwakumbika mama zetu, Ni nani kama mama?
ReplyDelete