Mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro ni mji unaovutia na unaoongoza kwa usafi nchini Tanzania na Afrika mashariki na kati. Mji huu umeweza kuwa msafi kutokana na manispaa ya mji huo kutunga sheria ndogo ndogo za kusimamia usafi katika mji huo, je! jiji la Dar es salaam linangoja nini kuiga mfano wa Moshi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kumbe inawezekana, basi tumchukue meya huyo wa Moshi kwa muda ajae asimamie hilo zoezi hapa Dar!
ReplyDeleteIngewezekana hivyo ingekuwa safi sana
ReplyDelete