Muda wa kupendekeza majina ya blog zitakazoshiriki katika mashindano umesogezwa mbele. Hivyo tarehe ya kutuma majina ya blog hizo umebadilishwa kutoka tarehe 31 May 2011 kwenda tarehe 10 June 2011. Taarifa hii kwa mujibu wa waandaaji wa shindano.
Blog hii inakuomba msomaji popote ulipo usisahau kuipendekeza kushiriki shindano hilo kubwa na la kwanza hapa nchini.
Ahsante kwa taarifa!!
ReplyDeleteUtaratibu unakuwaje vile?
ReplyDeletejamani blogu yetu ipeni shavu..wallahi nawaambia tunaiweka hewani kutoka kijijini...umeme tunatumia jenereta, gprs nayo shida tu..lakini pamoja na yote haya tunajitahidi kui-update...!
ReplyDelete