Wednesday, May 25, 2011

INAKUWA AJE UNAAMKA UNAKUTA ZIGO KAMA HILI

Inakuwa aje asubuhi unaamka unakutana na zigo kama hili nyumbani kwako, kama wewe utafanya nini kwa haraka haraka?

2 comments:

  1. kitu kwanza ningemshukuru muumba halafu ningemuumba aniwezeshe nifanyie kitu cha maana na sio anasa ningewasomesha watoto wangu katika shule zinazoeleweka na kujenga majumba mengi ya kupangisha nakununua viwanja baada ya hapo nawasaidia ndugu wasio nauwezo n.b na kabla ya kufanya yoote natoa sadaka ni hayo tu

    ReplyDelete
  2. nitaelekea hospital kupima je mimi na macho yangu ni wazima au niko katika ndoto ambao wote walioota wapo hospital mpaka leo. Wanaendelea na matibabu. Nikitoka hapo hospital doctor akasema akili ni nzima nitaamini kuwa sijaona kitu cha wazimu huo mzigo unamwenyewe.

    ReplyDelete