kitu kwanza ningemshukuru muumba halafu ningemuumba aniwezeshe nifanyie kitu cha maana na sio anasa ningewasomesha watoto wangu katika shule zinazoeleweka na kujenga majumba mengi ya kupangisha nakununua viwanja baada ya hapo nawasaidia ndugu wasio nauwezo n.b na kabla ya kufanya yoote natoa sadaka ni hayo tu
nitaelekea hospital kupima je mimi na macho yangu ni wazima au niko katika ndoto ambao wote walioota wapo hospital mpaka leo. Wanaendelea na matibabu. Nikitoka hapo hospital doctor akasema akili ni nzima nitaamini kuwa sijaona kitu cha wazimu huo mzigo unamwenyewe.
Madhumuni ya Blog hii, ni wadau kwa pamoja kutumia Teknolojia hii ya mawasiliano kwa kukumbushana,kufurahishana na kuelimishana . Tukiwa pamoja katika kuchangia hakika tutafuta ujinga. Ila tusisahau kukumbushana, NAJUA WAJUA ILA NAKUKUMBUSHA.
Nitumie picha, maoni na hata unalotaka kutukumbusha na kutuelimisha, NAJUA WAJUA ILA NAKUKUMBUSHA.
WASILIANA NASI KWA:
Simu 022 2461457/ 0784 251001/ 0773 251001
E.Mail - najuawajua@yahoo.com
kitu kwanza ningemshukuru muumba halafu ningemuumba aniwezeshe nifanyie kitu cha maana na sio anasa ningewasomesha watoto wangu katika shule zinazoeleweka na kujenga majumba mengi ya kupangisha nakununua viwanja baada ya hapo nawasaidia ndugu wasio nauwezo n.b na kabla ya kufanya yoote natoa sadaka ni hayo tu
ReplyDeletenitaelekea hospital kupima je mimi na macho yangu ni wazima au niko katika ndoto ambao wote walioota wapo hospital mpaka leo. Wanaendelea na matibabu. Nikitoka hapo hospital doctor akasema akili ni nzima nitaamini kuwa sijaona kitu cha wazimu huo mzigo unamwenyewe.
ReplyDelete