Tuesday, April 12, 2011

UNAKUMBUKA USAFIRI HUU?

Usafiri huu ulikuwa enzi zetu zileee, unaweka foleni ya kupanda basi wakati basi lenyewe bado halijafika kituoni na halijulikani litafika muda gani. Vituo vingine vilikuwa na ratiba ya basi ikionyesha muda kufika na kuondoka kituoni, hapo usafiri ulikuwa mabasi ya UDA na KAMATA, Unakumbuka usafiri huu?

1 comment:

  1. Kwangu mimi naona huu utaratibu ni mzuri, Mabasi yakiwa mengi na kukafatwa foleni.Maana pale Posta mpya kama una ubavu wa kupigania utakesha,sijui kwasasa.

    mpaka leo wenzetu wanatumia utaratibu huo wa kujua ratiba na kufuata foleni na mambo yanakwenda sawa!!.

    ReplyDelete