Thursday, April 14, 2011

PEMPAS ZA KWETU

Na watoto wetu uswazi nao wanavaa pempas pia, sio wenu pekee.Hebu angalia ubunifu wa wabongo, kila kitu kinawezekana "wao waweze wana nini sisi tushindwe tuna nini".

3 comments:

  1. Duh...ubunifu mwingine hatari.

    ReplyDelete
  2. Hakika hapa wameniacha hai! ni ubunifu mzuri. Ila cha msingi sasa waangalie mtoto asikae na hiyo pampes muda mrefu asije akachubuka makalio...

    ReplyDelete
  3. Mmmhh hii ya mwaka,kwani chupi za mkojo sikuhizi hakuna?

    ReplyDelete