Sunday, April 17, 2011

MTOTO WA KIBONGO NA ELIMU

Mtoto wa kibongo anapata tabu kupata elimu japo  tunaambiwa elimu yenyewe ndio elimu ya kiwango cha chini katika nchi za Afrika Mashariki. Hebu tazama aina ya mazingira ya kupata elimu na unategemea matokeo gani hapa? Watanzania tuamke kuchangia kutengeneza mazingira bora ya kutoa elimu bora kwa watoto wa kitanzania.

1 comment:

  1. Na kazi usipomaliza utachapwa wewe, tafuta jinsi ya ukaaji umalize kazi!HII NDIYO BONGO YETU.

    ReplyDelete