Friday, May 7, 2010

JE UNAJUA ILIPOTOKA SIMU? HII NDIO SIMU

Simu ni chombo cha umeme. Mamtumizi ya simu ni kwa ajili ya watu wawili waliokatika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Kwa maana  hiyo ni chombo cha mawasiliano. Awali simu ilihitajika iuanganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia redio. Hii nayo inaitwa nyayatupu, siwaya au simu bila waya.
Watu wengi wanaamini kuwa simu iligunduliwa mnamo 1876 na Alexander Graham Bell. Alikuwa mtu mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani akiwa kama Muuskoti. Lakini Antonio Meucci alianzisha na kuanza matumizi ya simu toka  mwaka wa 1871 huko Marekani. Najua wajua ila nakukumbusha tu kuwa hii ndio simu, na ufahamu ilipotokea na mpaka leo unatembea nayo.

2 comments:

  1. hodi hapa kibarazani! naona ni usiku sasa ok ntarudi siku nyingine!!

    ReplyDelete
  2. KARIBU SANA HAPA NI KWAKO PIA, JISIKIE UPO HURU KUTUELIMISHA AMA KUTUKUMBUSHA CHOCHOTE KUPIA BLOG HII

    ReplyDelete