Saturday, May 29, 2010

UNALIJUA GARI MOSHI (TRAIN)?

Treni (kutoka neno la  Kiingereza. train) ni chombo cha usafiri kwenye reli. Treni inamaanisha jumla ya mabehewa inayovutwa au kusukumwa na injini kwenye njia ya reli. Kwa lugha nyingine treni huitwa pia gari la moshi.
Mabehewa haya yanaweza kubeba watu au mizigo hivyo kuna tofauti kati ya treni ya abiria na treni ya mizigo.
Mahali ambako treni inasimama na kupokea abiria au mizigo huitwa kituo cha reli. Treni ni usafiri maarufu sana kwa Tanzania hasa maeneo ya Tabora na Kigoma, hiyo ndio treni maarufu kwa Gari Moshi.


No comments:

Post a Comment