Tuesday, June 1, 2010

IFAHAMU SHINYANGA

Mkoa wa Shinyanga ni kati ya mikoa 26 za Tanzania. Makao makuu ndipo Shinyanga. Mkoa umepakana upande wa kaskazini na mikoa ya Mwanza, Mara na Kagera, upande wa kusini na Mkoa wa Tabora. Mkoa wa Kigoma uko upande wa magharibi, Mkoa wa Singida kusini-magharibi na mikoa ya Arusha na Manyara ma. Mkoa wa Shinyanga una wilaya 8: Bariadi, Bukombe, Kahama, Kishapu, Maswa, Meatu, wilaya ya Shinyanga vijijini and wilaya ya Shinyanga mjini.kwa mashariki. Mkoa una wakazi 2,796,630 kufuatana na sensa ya 2002. Mkoa huu una Makabila ya  Wasukuma, Wanyamwezi na Wasumbwa.

No comments:

Post a Comment