Thursday, June 3, 2010

KOMBE LA DUNIA MICHEZO INAYOTANZAMWA NA WATU WENGI ZAIDI DUNIANI

Kombe la Dunia la FIFA ni mchuano wa kimataifa wa mchezo wa soka wa wanaume. Kombe hili hutambulika pia kama kombe la dunia la soka, kombe la dunia la mpira wa miguu au Kombe la Dunia. Kombe hili hushindaniwa na nchi wanachama wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA - Fédération Internationale de Football Association). Mashindano haya hutazamwa na watu wengi zaidi duniani kuliko mashindano yoyote yale. Mashindano ya mwaka 2002 watu wapatao bilioni 1.1 walitazama.

No comments:

Post a Comment